Sera ya Usafirishaji
Asante kwa kununua kutoka Osklave.
Eneo la Usafirishaji
Tunatoa huduma ya usafirishaji kote Tanzania kupitia huduma ya Lipa Unapopokea (Cash on Delivery - COD).
Muda wa Kuchakata Oda
Oda zote huchakatwa ndani ya masaa 24 baada ya kuthibitishwa.
Muda wa Kufikisha
Bidhaa nyingi hufikishwa ndani ya siku 1 hadi 5 za kazi, kutegemeana na eneo lako.
Malipo
Malipo hufanyika wakati bidhaa inapofikishwa kwako kupitia huduma ya Cash on Delivery (COD).